Tazama safari ya #Wananchi kwenye NBC Premier League baada ya kucheza mechi tano na kushinda zote.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Espanyol 18/19 Camiseta de la 3ª equipación Magasin en ligne spécialiste du football et des produits officiels des clubs de foot. Acheter des maillots, accessoires, chaussures et vetements de football
Comentarios
27 respuestas a «YANGA TV 05/11/2021 | Moto wa Yanga kwenye NBC Premier League»
Yanga sasa inaleta raha
i love you yangaaaaaa
Akuna Tim Kama yang
💚💚💚💚💛💛💛💛💛💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💛💛💚
Asateyaga
Haiwezekan kweli yanga tukawa na radio yetu ili tukiamka tu tunasikiliza kwanza wimbo wetu ndo tunaenda kwenye majukum yetu tukiwa na Ali na morali
Tarimbaaa🤣🤣🤣kasema ukweliiii kabsa hii tabia ya yanga kucheza pass nyingi wanatuharbia soka bhanaa yaan huon upinzani
Na kambini ilikaa siku 10 t 🤣
Yanga damu…. daaahh ii timu inanifanya kila siku nikiiangalia napata furaha tuu hata kama nina stress…Yanga in my blood 💚💚💚💛💛💛
mmiiiii ssemi acheni yanga yangu yani sina2 uwezo yakubadlisha dam ila inatosha kiukweli yanga?
busisi.dalaja
Ukiteswa na mapenz ukiangalia young stress zote zinaisha
Ewalaaaaaa
Safi
yanga yanga yangaaaaaaaaaa
Safi wanajangwanii
p11
I have not l
aaaapaaapapppapaaaaaap
😄😄😄
Daima Mbele Nyuma Mwiko!!🔥🔥
💚💚💚💚
Fei sali
Chama la wanaa hiliiii kaa
💥💥💥
Daima mbele tu
Yanga oyeee raha sana ukiwa mwananchi
Penda sanaaa chama langu.
Tunatisha Yanga