YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj.
Magoli ya Yanga yamefungwa na Yohanda Ndushi na Abby Mikimba.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Camiseta De Almería 2ª Equipación 20/21 maillot foot vintage pas cher,football crampons,tee shirt foot personnalisé pas cher,chaussure de football enfant,maillot foot ancien
Comentarios
22 respuestas a «Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | U20 Premier League»
Nyanda Bomoa babaangu bald mbn safi tu tuqwe makin askli waku siku nyingne
Kazi nzul vijana
Dactor jamaniiii ana tumbwizaaaaaaaa hahahahahahah
Kwani kwenye ligi hii ya und20 Nani anaongoza ligi
Daa hatari saaana 💛💚💛💚🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏💯💯💯
Mashoto noma sana
Yanga raha mamae
Mm Sina timu,ila YANGA IKIFUNGWA NAJISKIA VIBAYA,HADI HOMA.YANGA,YANGA,YANGA.
Hao madogo waliofunga sarpong haoni ndani 🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo dogo aliye funga goli la pili anamzidi Fiston x 10000
Heeeee 🤨🤨🤨hii tabia ya yanga ya longball uwa mpk kwa watoto
Yanga wako vizur sanaaa
Bora Hawa kama kaka zao
Wakiwa wakubwa watakuwa utopolo kisha
Hawa vijana wa Yanga kikosi chao kipo vizuri sana.
OYAA NIAMININI MIMI HAWA SIO U20 WOTE HAO WAMEFOJI UMRI😅🤣😅🤣😅🤣😅🤣😅🤣
Hi u20 mbn inatisha jmn yangaaa 💛💚 oyeeeee
Goli nzuriiii jmn
Vjana wana speed sana, kikubwa tuwatia nguvu tu kwa kla ha2a
YANGA oyeeeeeeeeeeeeeeeee DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💛💚💛💚💛
Hawa kweli ni under 20 au macho yangu tu
Saf vijana wa yanga