Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Magoli ya Simba yametoka kwa Pape Sakho na Peter Banda.
Camiseta Suecia 2a Equipación 2020 -Où trouver l’offre maillot de foot pas cher au meilleur prix ? Dans le boutique maillotparis.com bien sûr ! Nous vous proposons des maillots
Comentarios
47 respuestas a «Magoli | Simba 2-0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 23/06/2022»
Waoooh
Watu washangilia ubingwa na wengine sielewi washangilia Nini hapa!!!?????
Sakho piga tu mim nakukubali tupe raha kabisa
https://youtu.be/MdsisXn0fTk
Pape ????
Bonne continuation a notre frr??ousmane sakho??tu merite de jouer dans les championnats europeens✍?
Hapo awa sako enderea kuuwasha moto
Nyie Azam mnazingua yaani highlights dakika 4 kweli?
Hv kwann highlight za Simba Huwa znachelewa
INAKERA SANA, unashinda halafu unatoka nje unakutana na Mlevi anaimba Yanga Bingwa.
Yanga bingwa ????
Wachezaji wengine fala kweli wanakaza wapewe mkataba wakipewa wanaenda kulala na sio kusaidia timu kama kakolanya
sakhooooooo
dogo noma simba tulikosa kocha tu
KAMBA HIYO
Best from sakho
Nakubal san ??
Sakho bonge la mchezaji PSL ya South Africa anacheza
am from kenya but i admire Tanzania Football..i wish our football could be at this level ? Our own football federation is full of corruption and individualism straight from the ministry of sports itself
Kazi safi wana tanzania
Hawa Simba wanakumbuka shuka kumekucha….?! bure kabisa…. heheheheheheee
Azam achen nongwa weken highlights
Full highlight mnaweka mda gani ?
Mbona highlights za mchezo wote hakuna
#Mrbio48Gaming
its goal
Mechi yajana simba mtibwa surga
beauty Beautiful ?
Well done Simba as well hard luck.
Mbona sakho Kama Ana bifu na Banda Ina anavyomtema na kumsukuma
Namkubali sana Sakho anakupa pasi alafu anakwambia usihangaike niwekee hapa raha sana
Hii assist mh
Goli lakijanja mpira wamoto
Hila yang mmeonewa kombe kam brenda
Brilliant POS @ CAF https://www.youtube.com/c/CAFTVafricanfootball
Goli zur san hingekuwa mwazo wamsimu hiv laha san yani
MAKOLO Kombe Gani hili..?
Acha washuke tu daraja
Fantastic goal
Goal halali kabsa
Mnakiwasha wakati ligi inaendea mwisho??
Chama vipi jaman!!?
mechi za yanga zinakua ngumu sababu kila timu inataka kuvunja mwiko wa yanga kutofungwa. subiri mechi ya mbeya city utaona nayo inakua ngumu
kaiga ??
Sako na banda kunashida
SIMBA TUNATISHA
Nambieni
Ila P.O.S ni hatari sana yajayo yanafurahisha Simba msiwe na wasiwasi kabisaaaa