Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022



Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

KMC wametangulia kupata bao kupitia kwa Hassan Kabunda dakika ya 41 kabla ya Simba kuchomoa kwa goli la Kibu Denis dakika ya 52, kasha Pape Sakho akaongeza la pili dakika 63 na Henock Inonga akafunga hesabu dakika ya 66.

Camiseta Liverpool 2020/2021 Morado Boutique ZOFOOT: vente Maillot Football et Autre Vetements pour Equipes et Clubs Saison 2018 2019 thailande – acheter Survetement de foot pas cher.

Comentarios

31 respuestas a «Magoli | Simba 3-1 KMC | NBC Premier League 19/06/2022»

  1. Avatar de Deus Morris

    yanga ni wachawi msimu huu muite wachungaji waje kuwaombea wachezaji na timu kwa ujumla waliwaloga wachwzaji

  2. Avatar de chriss g

    Hii ndo simba ninayoijua mimi! Ile nyingine ya Pablo hapana!!

  3. Avatar de Shaban Moringa

    Saf sana enonga back

  4. Avatar de Jacklin Masawe

    Huwa sichoki kushamgilia Simba yangu

  5. Avatar de Julius Isack

    Simba hatuna kombe ilaa mashabiki wanafuraia TEAM YAOO….hii ndio maana ya nguvu mojaa???❤️

  6. Avatar de Levina Karoli

    Nampend kibu denic

  7. Avatar de isaya henjewele

    nawaombea wachezaji wa simba waendage baselona na asenal

  8. Avatar de benjj lifetechnologie

    Simba ikiwa haijalogwa na yanga inakua tamu balaa

  9. Avatar de Rashid Salehe

    yamefungwa magol ya champions league hakika ndo mechi bora msimu huu kwangu mimi najiuliza tu ingekua sakho anacheza ile timu ya wamang'ati sijui angepewa ng'ombe wangap goli hili mchezo bhana hauitaj hasira

  10. Avatar de Sosoma Charles

    Makolo wanagombania nn sasa????

  11. Avatar de Mansour Juma

    Pape Sakho Goli 1 assist 2. Good performance for him

  12. Avatar de Kalisti Malkiadi

    Simba nguvu moja tushawazoea hao utopolo watapigwa ndani nje nakurudi nyumbn

  13. Avatar de Kalisti Malkiadi

    Simba nguvu moja tushawazoea hao utopolo watapigwa ndani nje nakurudi nyumbn

  14. Avatar de Halima Juma

    Et jamn pamoj na kwamb tumepotez ubingwa na si tumerizia juu ya hilo lkn huk utopolo mioyo yao inawauma simba ikpata matokeo mazur yn jamn kwel hilo jina limewafaa hayana akil kabsa

  15. Avatar de Jema Nassoro

    Kwaiyo nyie mnagombea nn hahahaha

  16. Avatar de Emmanuel Bonifas

    Baraka nakukubali mno bro mungu akujalie afya njema kila iitwapo leo unafanya kazi yako kwa ufanisi mzuri sana

  17. Avatar de Albert Valentino

    Kwa moto huu was tatu tatu,kutwa Mara tatu,mnaokwenda nao sasa MAKOLO,hakika mnakwenda kutwaa ndoo ya Ligi kuu 2021/2022.

  18. Avatar de Alice Nice

    Sasa uyi kavua jezi ya nini? ???

  19. Avatar de Chief Majai

    Ukisitajabu ya kukosa ubingwa utaona ya mchezaji kuvua jezi

  20. Avatar de Eddy Gonza

    Hahahahahaaaaaa ligi bado inaendelea kumbe

  21. Avatar de Amina Babu

    Jamn ss watanzania hatun iman na watanzania wenzetu matola mech ya3 hiii kam skosei haja droop wall kufungwa kwani shida ipo wap jamb

  22. Avatar de Fatma Ali

    Wafalme tupo lini young african