Yanga SC 4-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 17/11/2022

HATTRICK: Straik Fiston Mayele amepiga #hattrick Yanga ikiishushia kichapo kichapo kizito cha mabao 4-1 Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mayele amefunga magoli yake dakika ya 16, 27, na 56 huku Kibwana Shomary akifunga goli lingine dakika ya 48 na… Seguir leyendo Yanga SC 4-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 17/11/2022