Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | U20 Premier League

YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj. Magoli ya Yanga yamefungwa na Yohanda Ndushi na Abby Mikimba. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM:… Seguir leyendo Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | U20 Premier League