Mabingwa watetezi… Yanga SC leo wamtoa kichapo kingine kwa Coastal Union, wakiwapiga 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa marudiano, ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.
Fiston Mayele amefunga mawili dakika ya 29 na 47 huku Feisal Salum akiongeza la tatu dakika ya 66.
Tazama highlightys…
Camiseta España Portero en negro 2020 Edición Copa De Europa Chaussures, Maillots, Shorts, Survêtements, Ballons, Accessoires.