Yanga imetumia kipindi cha pili kufunga magoli matatu ikiipa kichapo cha 3-0 Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Wafungaji wa mabao hayo ni Jesus Moloko dakika ya 47, Fiston Mayele dakika ya 77 na Clement Mzize dakika ya 86.
Katika mchezo huu pia, Polisi Tanzania walipata pigo kwa mshambuliaji wao Ambrose Awio kutolewa kwa kadi nyekundu kufutia kadi ya pili ya njano.
Camiseta FC Bayern Munich Segunda Equipación 2021-2022 Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher.