Tazama mambo yalivyokuwa Azam FC ikiichabanga Tanzania Prisons kwa jumla yamabao 3-1 kwenye mchezo wa robo fainali ya U20 Premier League.
Ni mchezo wa Robo Fainali na wafungaji ni Ashraf Kibeku, George Chande na Abdulkarim Kiswanya kwa upande wa Azam FC na Iddy Kichino kwa upande wa Tanzania Prison
Camiseta Olympique de Marsella Segunda Equipación 2021-2022 vente de maillots de football de haute qualité de 100 %, nous vendons les derniers maillots de football pas cher. Maillots de football pour achat en ligne