Mtibwa Sugar wakiwa kwenye dimba lao la nyumbani, Manungu Complex, mkoani Morogoro imeitandika Geita Gold 2-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierleague.
Magoli ya Mtibwa yametoka kwa Nzigamasabo Styve dakika 27 na Mululi Mayanja dakika ya 76.
Camiseta Inglaterra 1ª Equipación Retro 1998 Vente Maillot de foot Pas Cher 2018, Maillot de Foot 2018-2019 50% Off.