Goli la Coastal Union wakiwachapa Simba 1-0 Robo Fainali U20 Premier League 13/07/2022

ROBO FAINALI: Timu ya vijana ya Simba U20 imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka wa vijana wa Coastal Union, katika mchezo wa robo fainali ya ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la ushindi limetoka kwa Khamis Mgaya dakika ya 47 na kuwapeleka Wagosi nusu fainali huku Simba ikitupwa nje ya… Seguir leyendo Goli la Coastal Union wakiwachapa Simba 1-0 Robo Fainali U20 Premier League 13/07/2022