Goli kali kutoka kwa Juma Liuzio , assist ya Saidi Ntibazonkiza dakika ya 41, limewapa Geita Gold pointi tatu wakiwatandika 1-0 Ihefu SC, kwenye Uwanja wa Nyankumbu, Geita… Mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague
Camiseta México 1ª Equipación 2018 Maillot foot pas cher chine
Etiqueta: soka
-
Tanzania Prisons 0-2 KMC FC | Highlights | NBC Premier League 16/01/2022
Magoli mawili ya mbali kutoka kwa Kelvin Kijiri na Ally Ramadhan Oviedo yameipa KMC ushindi muhimu ugenini kwa kuitandika Tanzania Prisons 2-0.Ni mchezo wa #NBCPremierleague uliochezwa kwenye Dimba la Nelson Mandela mjini Sumbawanga, langoni akisimama Benedict Haule.
Camiseta Japón 1ª Equipación 2019-2020 Niños Maillot de foot pas cher 2020 2021, Y compris Enfant, Femme, Paris Saint Germain, France, Real Madrid, Monaco et ainsi de suite, survetement de foot. -
Magoli yote | Biashara United 1-3 Dodoma Jiji | NBC Premier League 05/05/2022
Timu ya Dodoma Jiji imeipa kichapo cha mabao 3-1 Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Nyamagana, Jijini Mwanza.Magoli ya Dodoma yamefungwa na Khamis Mcha dakika ya 15 na 35, pamoja na Anuary Jabir dakika ya 48 huku goli pekee la Biashara likifungwa na Omary Chibada dakika ya 25.
Camiseta Sevilla FC 1ª Equipación 2020/2021 Niño Vente Maillot de foot Pas Cher 2018, Maillot de Foot 2018-2019 50% Off. -
Azam FC 0-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 12/12/2021
Azam FC leo imekabwa koo na Kagera Sugar katika mchezo wa #NBCPremierLleague uliopigwa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.Mchezo huo umemalizika kwa sare ya kutofungana licha ya kuanza na mkali wa mabao, Prince Dube ambaye amekuwa nje ya dimba tangu kuanza kwa msimu huu kutokana na majeraha.
Camiseta España Portero en negro2020 Edición Copa De Europa Nino Maillot De Football Personnalisé Pas Cher sur CLUB-SHOP ✓ Livraison rapide ✓ Devis PRO CLUBS en 24h ✓ + de 5000 Réf. Sport en Stock ✓ -
Magoli na penati | Mtibwa Sugar 1-1 Geita Gold (Pen: 4-2) | U20 Premier League 13/07/2022
ROBO FAINALI: Mtibwa Sugar U20 imetinga nusu fainali baada ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Geita Gold U20 kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za mchezo wa robo fainali ligi kuu ya vijana #U20PremierLeagueHaya hapa magoli yote mawili na mikwaju minane ya penati, Mtibwa wakishinda penati zao zote nne huku Geita wakikosa mbili na kufunga mbili.
Chandal Estados Unidos 2019/2020 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus