Tazama magoli yote mawili… Aliyeanza ni Bright Adjei dakika ya 69 na aliyejibu ni Pius Buswita dakika ya 79. Namungo ikatoika sare ya bao 1-1 na Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Majaliwa…. moja kati ya michezo wa kuhitimisha msimu iliyopigwa leo.
Camiseta Manchester United 2ª Equipación 2019/2020 Niño maillot de foot manche longue.
Etiqueta: Singida BS
-
Magoli | Namumgo FC 1-1 Singida Big Stars | NBC Premier League 09/06/2023
-
Yanga SC 4-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 17/11/2022
HATTRICK: Straik Fiston Mayele amepiga #hattrick Yanga ikiishushia kichapo kichapo kizito cha mabao 4-1 Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.Mayele amefunga magoli yake dakika ya 16, 27, na 56 huku Kibwana Shomary akifunga goli lingine dakika ya 48 na goli pekee la kufutia machozi kwa Singida likitoka kwa Medie Kagere dakika ya 66.
Camiseta Paris Saint-Germain Verde 2021-2022 Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher.