Tazama magoli yote mawili… Aliyeanza ni Bright Adjei dakika ya 69 na aliyejibu ni Pius Buswita dakika ya 79. Namungo ikatoika sare ya bao 1-1 na Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Majaliwa…. moja kati ya michezo wa kuhitimisha msimu iliyopigwa leo.
Camiseta Manchester United 2ª Equipación 2019/2020 Niño maillot de foot manche longue.
Etiqueta: Singida Big Stars
-
Magoli | Namumgo FC 1-1 Singida Big Stars | NBC Premier League 09/06/2023
-
Magoli | Tanzania Prisons 1-2 Singida Big Stars | NBC Premier League 17/12/2022
Tanzania Prisons imeendelea kufanya vibaya kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine, Jijini Mbeya baada ya leo kupigwa 2-1 na Singida Big Stars, mchezo wa #NBCPremierLeagueMagoli ya Singida yametoka kwa Bruno Gomes dakika ya 5 na Medie Kagere dakika ya 57 huku Tanzania Prisons wakipata bao lao pekee kwa penati dakika ya 79 kupitia kwa Jumanne Elifadhili.
Camiseta de Espana Mujer 2019 2020 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus -
Yanga SC 4-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 17/11/2022
HATTRICK: Straik Fiston Mayele amepiga #hattrick Yanga ikiishushia kichapo kichapo kizito cha mabao 4-1 Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.Mayele amefunga magoli yake dakika ya 16, 27, na 56 huku Kibwana Shomary akifunga goli lingine dakika ya 48 na goli pekee la kufutia machozi kwa Singida likitoka kwa Medie Kagere dakika ya 66.
Camiseta Paris Saint-Germain Verde 2021-2022 Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher.