Highlights | Tanzania Prisons 3-1 Yanga | U20 Premier League 24/06/2023

Timu ya vijana ya Tanzania Prisons U20 imeibutua Yanga SC U20 mabao 3-1 katika mchezo wa pili wa kundi B ligi kuu ya vijana U20 inayoendelea #AzamComplex , Chamazi magoli ya Tanzania Prisons yametoka kwa Emmanuel John Mbogo, Kelvin Mbonde Sengati, Iddy Juma Kichindo na goli la kufutia machozi la Yanga limetoka kwa Ladius Lucas… Seguir leyendo Highlights | Tanzania Prisons 3-1 Yanga | U20 Premier League 24/06/2023