ROBO FAINALI: Mtibwa Sugar U20 imetinga nusu fainali baada ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Geita Gold U20 kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za mchezo wa robo fainali ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague
Haya hapa magoli yote mawili na mikwaju minane ya penati, Mtibwa wakishinda penati zao zote nne huku Geita wakikosa mbili na kufunga mbili.
Chandal Estados Unidos 2019/2020 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus