Magoli mawili kutoka kwa George Mpole na Edmund John yameipa ushindi wa 2-0 Geita Gold dhidi ya Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Nyankumbu, Geita.
Camiseta Deportivo Alavés 3ª Equipación 20/21 Commandez vos maillots de foot pas cher avec Unisport. Nous avons des maillots en solde pour homme, femme et enfant. Personnalisation possible et livraison
Etiqueta: michezo
-
Geita Gold 2-0 Biashara United | Highlights | NBC Premier League 18/06/2022
-
Magoli | Mtibwa Sugar 3-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League 13/06/2022
Timu ya Mtibwa Sugar imeichapa Ruvu Shooting mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Manungu Compex mkoani Morogoro.Magoli ya Mtibwa yametoka kwa Brian Mayanja Mululi aliyefunga mawili huku la kwanza likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Ally Kombo wakati goli la kufutia machozi kwa Ruvu likitiwa nyavuni na Abalkassim Hamis Suleiman dakika ya 86.
Camiseta Retro Atlético De Madrid 04/05 Chaussures, Maillots, Shorts, Survêtements, Ballons, Accessoires. -
Geita Gold 2-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 13/06/2022
Ni ushindi wa 2-0 iliyoupata Geita Gold FC dhidi ya Dodoma Jiji, mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Nyankumbu mjini Geita.Hapa kuna goli la Edmund John lililotengenezwa na George Mpole dakika ya 8 na kuna goli la George Mpole mwenyewe dakika ya 79 likiwa ni la 15 kwake kwenye ligi msimu huu.
CAMISETA PRIMERA EQUIPACIÓN JUVENTUS 2019-2020 Commandez vos maillots de foot pas cher avec Unisport. Nous avons des maillots en solde pour homme, femme et enfant. Personnalisation possible et livraison