Etiqueta: Mbeya na Biashara 1-1

  • Highlights | Mbeya Kwanza 1-1 Biashara United | NBC Premier League 29/10/2021

    Highlights | Mbeya Kwanza 1-1 Biashara United | NBC Premier League 29/10/2021



    Biashara United wameikomalia Mbeya Kwanza na kugawana pointi baada ya sare ya bao 1-1 iliyopatikana katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine, Jijini Mbeya.

    Magoli yote yaliyofungwa leo ni ya kideoni, akianza Ramadhan Chombo ‘Redondo’ kuitanguliza Biashara dakika ya 13 kisha Hamis Kanduru akachomoa kwa goli kali dakika ya 81.

    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM:
    ►INSTAGRAM:
    ►TWITTER:
    ►FACEBOOK:
    ►WEBSITE:

    Camiseta de la 1ª equipación Liverpool 18/19 Achat en ligne ➤ Football maillots pas cher sur Aliexpress France ! ✅ Livraison rapide ✚ Produits de qualité à petits prix ✓