Etiqueta: Mbeya City vs Yanga

  • Mbeya City 1-1 Yanga | Magoli na kadi nyekundu | NBC Premier League 25/06/2022

    Mbeya City 1-1 Yanga | Magoli na kadi nyekundu | NBC Premier League 25/06/2022



    Yanga wamepata sare ya bao 1-1 na Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya.

    Yanga wametangulia kwa goli la kujifunga kupitia kwa Hamad Wazir kabla ya Mbeya City kusawazisha kwa penati iliyopigwa na Joseph Ssemujju baada ya nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari.

    KADI NYEKUNDU: Katika mchezo huo pia beki wa Mbeya City, Mpoki Mwakinyuke amelambwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kuonesha mchezo usio wa kiungwana na beki wa Yanga, Shaban Djuma dakika 41.

    Camisetas Paris Saint-germain Entrenamiento 2021/2022 Maillots Football sur ✓ Livraison 48h ✓ Retour Gratuit ✓ + de 50 000 Produits. Stimulons la pratique du sport ensemble !