Timu ya Mtibwa Sugar imeichapa Ruvu Shooting mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Manungu Compex mkoani Morogoro.
Magoli ya Mtibwa yametoka kwa Brian Mayanja Mululi aliyefunga mawili huku la kwanza likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Ally Kombo wakati goli la kufutia machozi kwa Ruvu likitiwa nyavuni na Abalkassim Hamis Suleiman dakika ya 86.
Camiseta Retro Atlético De Madrid 04/05 Chaussures, Maillots, Shorts, Survêtements, Ballons, Accessoires.