Goli la kichwa kutoka kwa Onesmo Mayaya na lile la ‘free-kick’ kutoka kwa Ismail Mhesa yameipa ushindi wa 2-1 Mtibwa Sugar dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Manungu, Morogoro.
Polisi Tanzania ndiyo waliotangulia kupitia kwa Ambrose Awio dakikaya 35.
Camiseta Holanda Stadium Segunda Equipación 2020-2021 Niño Jusqu’à -70%