Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Goli la Ben Ng’wani dakika ya 67 liliwapa ushindi Ihefu U20 dhidi ya Simba U20 katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea #AzamComplex , Chamazi. Hii ilikuwa ni mechi ya pili kwa timu zote hatua ya makundi… CAMISETA DE TRAINING CHELSEA FC 2020/2021 STRIKE BLANCO Le shop de football offre le tenue de… Seguir leyendo Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Highlights | Tanzania Prisons 3-1 Yanga | U20 Premier League 24/06/2023

Timu ya vijana ya Tanzania Prisons U20 imeibutua Yanga SC U20 mabao 3-1 katika mchezo wa pili wa kundi B ligi kuu ya vijana U20 inayoendelea #AzamComplex , Chamazi magoli ya Tanzania Prisons yametoka kwa Emmanuel John Mbogo, Kelvin Mbonde Sengati, Iddy Juma Kichindo na goli la kufutia machozi la Yanga limetoka kwa Ladius Lucas… Seguir leyendo Highlights | Tanzania Prisons 3-1 Yanga | U20 Premier League 24/06/2023

Magoli na penati | Mtibwa Sugar 1-1 Geita Gold (Pen: 4-2) | U20 Premier League 13/07/2022

ROBO FAINALI: Mtibwa Sugar U20 imetinga nusu fainali baada ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Geita Gold U20 kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za mchezo wa robo fainali ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague Haya hapa magoli yote mawili na mikwaju minane ya penati, Mtibwa wakishinda penati zao zote nne huku Geita wakikosa… Seguir leyendo Magoli na penati | Mtibwa Sugar 1-1 Geita Gold (Pen: 4-2) | U20 Premier League 13/07/2022

Goli la Coastal Union wakiwachapa Simba 1-0 Robo Fainali U20 Premier League 13/07/2022

ROBO FAINALI: Timu ya vijana ya Simba U20 imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka wa vijana wa Coastal Union, katika mchezo wa robo fainali ya ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la ushindi limetoka kwa Khamis Mgaya dakika ya 47 na kuwapeleka Wagosi nusu fainali huku Simba ikitupwa nje ya… Seguir leyendo Goli la Coastal Union wakiwachapa Simba 1-0 Robo Fainali U20 Premier League 13/07/2022

Magoli | Azam FC 3-1 Tanzania Prisons | U20 Premier League 09/07/2022

LIGI KUU YA VIJANA: Hivi ndivyo vijana wa Azam FC U20 walivyowaadhibu wenzao wa Tanzania Prisons kwa kichapo cha mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20Premierleague inayoendelea kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Kipigo hiki kilikuwa ni tiketi kwa Azam FC kutinga robo fainali huku Tanzania Prisons wakiaga mashindano. CAMISETA PORTUGAL 2020… Seguir leyendo Magoli | Azam FC 3-1 Tanzania Prisons | U20 Premier League 09/07/2022