Highlights | KMC FC 1-1 Simba SC | U20 Premier League 13/03/2021

KMC VS SIMBA: Timu za vijana Simba na KMC zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi ya vijana chini ya miaka 20 uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Goli la Simba limefungwa na Andrew Michael huku la KMC likifungwa na Anthony Likass. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya… Seguir leyendo Highlights | KMC FC 1-1 Simba SC | U20 Premier League 13/03/2021