Azam FC wametanguliwa mawili…. lakini wakayachomoa yote na kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba.
Magoli ya Kagera Sugar yamefunga na Yusuph Mhilu dakika ya 12, pamoja na Meshack Abraham Mwamita dakika ya 62 lakini Azam wakafanya mabadiliko yaliyozaa matunda kutoka wa Idd Seleman Nado aliyefunga la kwanza dakika ya 68 na Idris Mbombo aliyefunga la pili dakika ya 87.
Chaqueta De Chándal Real Madrid A241 Maillot foot pas cher chine