Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Goli la Ben Ng’wani dakika ya 67 liliwapa ushindi Ihefu U20 dhidi ya Simba U20 katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea #AzamComplex , Chamazi. Hii ilikuwa ni mechi ya pili kwa timu zote hatua ya makundi… CAMISETA DE TRAINING CHELSEA FC 2020/2021 STRIKE BLANCO Le shop de football offre le tenue de… Seguir leyendo Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama highlights…. Chandal Italia 2019 Verde Amarillo… Seguir leyendo Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023

JEAN BALEKE: Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama Magoli……. Camiseta Manchester United… Seguir leyendo Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023