Ni ushindi wa 2-0 iliyoupata Geita Gold FC dhidi ya Dodoma Jiji, mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Nyankumbu mjini Geita.
Hapa kuna goli la Edmund John lililotengenezwa na George Mpole dakika ya 8 na kuna goli la George Mpole mwenyewe dakika ya 79 likiwa ni la 15 kwake kwenye ligi msimu huu.
CAMISETA PRIMERA EQUIPACIÓN JUVENTUS 2019-2020 Commandez vos maillots de foot pas cher avec Unisport. Nous avons des maillots en solde pour homme, femme et enfant. Personnalisation possible et livraison