Geita Gold 1-0 Ihefu | Highlights | NBC Premier League 25/11/2022

Goli kali kutoka kwa Juma Liuzio , assist ya Saidi Ntibazonkiza dakika ya 41, limewapa Geita Gold pointi tatu wakiwatandika 1-0 Ihefu SC, kwenye Uwanja wa Nyankumbu, Geita… Mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Camiseta México 1ª Equipación 2018 Maillot foot pas cher chine

Geita Gold 2-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 13/06/2022

Ni ushindi wa 2-0 iliyoupata Geita Gold FC dhidi ya Dodoma Jiji, mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Nyankumbu mjini Geita. Hapa kuna goli la Edmund John lililotengenezwa na George Mpole dakika ya 8 na kuna goli la George Mpole mwenyewe dakika ya 79 likiwa ni la 15 kwake kwenye ligi msimu huu.… Seguir leyendo Geita Gold 2-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 13/06/2022