Ruvu Shooting 0-2 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 16/12/2022

RUVU vs AZAM: Dakika tano za mwisho zimekuwa chungu kwa Ruvu Shooting, wakichezea kichapo cha mabao 2-0, moja likifunga na Obrey Chirwa dakika ya 85 na lingine la kujifunga kupitia kwa Michael Aidan dakika ya 90 kutokana na hekaheka za Obrey Chirwa. Ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa kwenye Dimba la Azam Complex,… Seguir leyendo Ruvu Shooting 0-2 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 16/12/2022