Goli la Paterne Counou sekunde ya mwisho ya mchezo limeharibu sherehe za ushindi kwa Mtibwa Sugar, ngoma ikimalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Manungu Turiani, Morogoro.
Mtibwa walianza kwa goli la Omary Hamis Selemani dakika ya 78 licha ya kucheza pungufu kwa zaidi ya dakika 45 baada ya straika wake Charles Ilmfya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 30 ys mchezo.
Chaqueta De Chándal Real Madrid A226 Vente Maillot de foot Pas Cher 2018, Maillot de Foot 2018-2019 50% Off.