HAT-TRICK: Nahodha wa Simba, John Bocco amepiga #hattrick na kuipa timu yake ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague
Bocco amefunga hattrick yake dakika ya 04′, 18′ na 69′ huku goli lingine likifungwa na beki Shomary Kapombe.
Camiseta Tottenham Hotspur 2ª Equipación 2020-2021 Niño Commandez vos maillots de foot pas cher avec Unisport. Nous avons des maillots en solde pour homme, femme et enfant. Personnalisation possible et livraison