Highlights | KMC FC 1-1 Simba SC | U20 Premier League 13/03/2021



KMC VS SIMBA: Timu za vijana Simba na KMC zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi ya vijana chini ya miaka 20 uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Goli la Simba limefungwa na Andrew Michael huku la KMC likifungwa na Anthony Likass.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:

Camiseta Del Estadio Del Fc Barcelona 2020/21 Para Niños Maillot De Football Personnalisé Pas Cher sur CLUB-SHOP ✓ Livraison rapide ✓ Devis PRO CLUBS en 24h ✓ + de 5000 Réf. Sport en Stock ✓

Comentarios

12 respuestas a «Highlights | KMC FC 1-1 Simba SC | U20 Premier League 13/03/2021»

  1. Avatar de patrick mkunda

    Ndio tunaanza kwa Taifa letu japo atujachelewa ongereni vijana w2 tumeona vipaji vyenu. Hapo mm umenikosha ni matumaini makubwa hapo baadae kuwa na timu ya Taifa Bora kabisa.

  2. Avatar de Ferouz masoud

    SIMBA sports club timu kubwa Tz 🇹🇿 na Africa

  3. Avatar de Isaka David

    Kazen Madogo si mnawaona kaka zetu simba chama kubwa

  4. Avatar de Emmanuel Juma

    Kwakweli Hilo goli wamefanya uzembe kabsa

  5. Avatar de Shani’s Show

    Hakuna timu apo kabisaa hakuna kilichowekezwa apo simba nimeona hakuna kama kocha au bench la ufundi hakuna kabisa

  6. Avatar de Simon Tchaz

    Staili ya Fiston imebamba kinomanoma.

  7. Avatar de Simon Tchaz

    Yaani swala la ubovu wa mabeki linazidi kuonekana hadharani kabisa ukiangalia gori walilofungwa kmc ni uzembe wa mabeki.

  8. Avatar de Simon Tchaz

    Mikia vipi tena mmeanza na droo

  9. Avatar de Amina Abdulla

    Mh mbona simba hivo sasa

  10. Avatar de Michael phares

    Wakwanza kukomenti nipeni likes