Magoli na penati | Mtibwa Sugar 1-1 Geita Gold (Pen: 4-2) | U20 Premier League 13/07/2022



ROBO FAINALI: Mtibwa Sugar U20 imetinga nusu fainali baada ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Geita Gold U20 kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za mchezo wa robo fainali ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague

Haya hapa magoli yote mawili na mikwaju minane ya penati, Mtibwa wakishinda penati zao zote nne huku Geita wakikosa mbili na kufunga mbili.

Chandal Estados Unidos 2019/2020 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus

Comentarios

6 respuestas a «Magoli na penati | Mtibwa Sugar 1-1 Geita Gold (Pen: 4-2) | U20 Premier League 13/07/2022»

  1. Avatar de Johannes Ishengoma

    Ila umri wa vijana wa mtibwa una walakini!!!!

  2. Avatar de Farid Hasan

    Honqera ? qeita qold

  3. Avatar de Farid Hasan

    Mbunqe huna Jimbo

  4. Avatar de Joice Robart

    Mdogo wngu kafanya yake leo

  5. Avatar de Joice Robart

    Pongezi kwa mtibwa