ROBO FAINALI: Timu ya vijana ya Simba U20 imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka wa vijana wa Coastal Union, katika mchezo wa robo fainali ya ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea Azam Complex, Chamazi.
Goli pekee la ushindi limetoka kwa Khamis Mgaya dakika ya 47 na kuwapeleka Wagosi nusu fainali huku Simba ikitupwa nje ya mashindano.
Hili hapa goli lenyewe.
Camiseta De Borussia Dortmund De Edición Limitada 2021/2022 Maillots de foot pas cher – Retrouvez en exclusivité tous les nouveaux maillot de football pas cher 2020 2021 sur la boutique 100% football
Comentarios
7 respuestas a «Goli la Coastal Union wakiwachapa Simba 1-0 Robo Fainali U20 Premier League 13/07/2022»
Imej itu terlalu menyinggung perasaan
Hawa ni U20 kweli?
Bongo sihami???
Kwakweli tunakoelekea kuna mwanga. Vijana wanacheza mpira mzuri sana. Yaani unaona kabisa wanafundishwa.
Ok
Kuna jamaa wa utopolo hapo anashangilia costal kumfunga simba na wakati yeye nae kapelekewa moto huohuo na mbeya Kwanza ??
Safii chama langu
Alles sehr schön. Aber zuerst zusammen die Nummern 10 und 1. Eine sleepfriendd.Online Brünette und eine andereh Blondine. Es wäre unfair, wenn ich 4 wählen würde