Magoli | Azam FC 3-1 Tanzania Prisons | U20 Premier League 09/07/2022



LIGI KUU YA VIJANA: Hivi ndivyo vijana wa Azam FC U20 walivyowaadhibu wenzao wa Tanzania Prisons kwa kichapo cha mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20Premierleague inayoendelea kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Kipigo hiki kilikuwa ni tiketi kwa Azam FC kutinga robo fainali huku Tanzania Prisons wakiaga mashindano.

CAMISETA PORTUGAL 2020 Maillot de foot pas cher 2020 2021,maillot de foot 2021 pas cher,flocage maillot de foot pas cher,Livraison rapide,qualité parfaite