Djigui Diarra Kipa Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF 12/06/2023



TUZO ZA TFF: Hizi hapa sababu za Kipa Bora wa NBC Premier League, Djigui Diarra kutokuwepo kwenye hafla ya Tuzo za TFF. Mwakilishi wake abainisha

Ni katika hafla ya Tuzo za TFF inayoendelea Mnyanjani jijini Tanga

CAMISETA PRIMERA EQUIPACIÓN REAL MADRID Maillots de foot pas cher – Retrouvez en exclusivité tous les nouveaux maillot de football pas cher 2020 2021 sur la boutique 100% football

Comentarios

13 respuestas a «Djigui Diarra Kipa Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF 12/06/2023»

  1. Avatar de Grace Robert

    Hongera diarra penda wewe 💚💚💚💛💛💛💛

  2. Avatar de Lightness Charlse

    Mdaka mishale ndio huyohuyo

  3. Avatar de Aisha francis

    Hongera sana kipa wetu wa YANGA💛💛💚💚

  4. Avatar de Elizabeth Mgassa

    Mdakamishale ni mmoja tu.

  5. Avatar de Sheysarah Njeno

    Yanga oyeeee yanga yangu