Stephane Aziz Ki amepiga #hattrick yake ya kwanza tangu atue Jangwani, na kuipa Yanga ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya …
CAMISETA LEICESTER CITY PRIMERA EQUIPACIÓN 2018-2019 Magasin en ligne spécialiste du football et des produits officiels des clubs de foot. Acheter des maillots, accessoires, chaussures et vetements de football
Comentarios
41 respuestas a «Yanga 5-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 11/04/2023»
Ki Aziz lapuga
https://youtu.be/aYnrqlhFTO8
Love yoooouuu yanga
Tumepiga penye matumaini yao makolo 😀😀
I love you yangaaaaa
💚💚💚
HIVI HAWA VILEMA WANAFIKIRI KUWA KUMFUNGA HUYU MGONJWA NDIKO KUTAWAEPUSHA NA KIPIGO CHA RIVERS UNITED?
Huyu ndio azizi ki tulikuwa tukimtaka
😂😂Mashuti ya mauaji
A a kweli HUU ni ukatili mtani ataelewa show 2
Ndomana kuna maumbo ya magoli kipa sio kama huyu wa Kagera mfupi kama joti
Kwanini hampendi kutuonyesha live kupitia hapa YouTube bali ni audio wakati sisi wateja wenu tunapendelea live ikiwa uwezo huo hamna acheni pia kutuonyesha audio mtuletee viporo tutakula tu
Mayele yupo hali bin dholfu kasha choka hbr yk imeisha
Penalty ya mchongo
Azam mmeanza ujinga Sana game za makolo zinakua hazina shida za yanga ni ujinga mtupu hatuoni kitu
HAKUNA SIKU NILIYOONA MAGOLI YA KIKATILI KAMA KWENYE MECHI HII NAAMINI TAR16 KUNA MTU ATASIMAMIA MGONGO NA SIYO MIGUU
Hii ndo maana halisi ya muunganiko wa GSM na YANGA AFRICA ! Kwa hakika daima mbele nyuma mwiko
Ongela yang kwaushnd daima mbele nyuma mwiko❤❤❤❤❤❤
yanga imetimia 🙌
Yanga 💚💛💚💛
Uyooo ndo nassredin Nab Hanaga mchezomchezo
Ushoga hatuutaki kabisa. !!!!!!! Kwa sbb si desturi yetu sisi watzd na Waafrika, kitendo hiki kinadhalisha Utu na uhuru wetu. Waziri na serikali hatuielewi, wasijifiche chini ya mwavuli wa uvunjivu wa maadili.
wawo wanadhani wanaisaidia timu mtaendelea kucheza looser shaurienu kagera ni yakufungwa 5 na yanga shauri yenu
Highlights Mnaiweka ina dk chache sana wastan mngeifanya angalau japo Iwe Ina Dk 30 ..!!!
Yanga imekosa magoli mengi sana ya wazi. Iliitengeneza nafasi nyingi sana bila mafanikio.
hiyo kamba ya pil ya Aziz Kii mmh
Ubingwa tupewe tuu jamani
Am from Kenya ..true fun of yanga football club…..always admiring how well this team displays aphenomenal dramatic football..with classy players….daima nashabikia yanga……
Gusa link hii 👉 https://youtu.be/6NLBEtPdk_8
Gusa link hii 👉 https://youtu.be/6NLBEtPdk_8
Kama unairudia hii mechi kama mimi like hapa tujuane wanayangaa 💛💛💛💛💚💚💚💚
Huyu azizi sijui tar.16 itakuwaje.
Mayele dont worry you got 2 goals again vs simba next match…king mayele
🥰🥰❤️
Utoporo mchongo
Na kwenye kuunganisha pass au cross kuwa goli mayele hawezi
Nimebain kitu kwa Mayele.
Kitu chenyewe ni kuwa mayele sio mzuri katika kufunga kwa kichwa
Jana simba kacheza hata dakk 45 hazikufika mkaweka highlights na dakk zaidi ya 20 ila yanga kafunga magoli mengi na bado dakk chache ndo nn sasa
Duuh azizi k shuti hloo 😅😅😅
Jamaniiii Nimerudi
Wana yanga furahini leo maan yajayo ni 🤭🤭