Magoli yote tisa | Mlandege 5-4 Dulla Boys | Zanzibar Premier League 26/11/2022



Ilikuwa ni mvua ya magoli…. yakifungwa jumla magoli tisa ambapo Mlandege walipata ushindi wa mabao 5-4 dhidi ya Dulla Boys kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar….

Ni ligi kuu ya Zanzibar #PBZPremierLeague

Camiseta Fc Porto Segunda Equipación 2020-2021 Niño Retrouvez tous les modèles de maillot de foot pas cher domicile, extérieur et third des plus grandes équipes : les maillots de foot de Marseille

Comentarios

4 respuestas a «Magoli yote tisa | Mlandege 5-4 Dulla Boys | Zanzibar Premier League 26/11/2022»

  1. Avatar de Salmine Juma

    Hii ni ligi kuu au ndondo cup?? 😂😂

  2. Avatar de Zanzibar Tv

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  3. Avatar de MiniTalkTz

    zanzibar football 😂😂😂

  4. Avatar de Sule R.Swaleh

    Hao makipa ni vichekesho kabisa wallahi